VERA SIDIKA: KITAULO KIMEMBADILISHA SANA..CHEKI PHOTO
Huyu ni moja kati ya ma-TOP SOCIALITE hapa Africa....Anaitwa VERA SIDIKA kutoka Kenya.. Huyu ni miongoni mwa kidada ambao KITAULO aka MKOLOGO umembadilisha sana...leo nimekuletea picha zake za sasa hivi na za BACK IN DAYS ujionee mwenye....Siku za hivi karibuni mwana dada huyu ALIPONDWA na mtangazaji wa KISS 100 FM kutokana na kujikoboa namna hii. Jionee mwenyewe.
Hivi sasa: Daah utazani anakunywa KAROLITI
ZAMANI SASA
Kabla ya KITAULO:
Posted