Latest Updates

WAKUBWA ZAIDI: WANAWAKE WEMBAMBA WAPO NJEMA ZAIDI KWA BED...!SHUKA NAYO HAPA...!




Imebainishwa kuwa wanawake wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Hulow wa Uingereza.