Latest Updates

WATAZANIA WAMPA TUZO YA HESHIMA IRINE PAUL





Wakati kukiwa na mamia ya wasanii wa filamu Tanzania, Watanzania Kupitia mitandao tofauti ya kijamii wanadai kuwa Irine Paul ana uwezo mkubwa wa kucheza filamu kwasababu akiwekwa kucheza nafasi yeyote katika filamu ana fiti.

”Yaani kwa kweli Irene anajitahidi sana anaigiza kama Mnageria kumbe Mtanzania;ukimuweka komedi anauwa, upande wa mcharuko usiseme, tukirudi kwenye mapenzi noma yaani huyu dada mwacheni.Kwa tuzo aliyopata mwaka jana anastahili kabisa awe mfano wa kuigwa siyo kila siku wasanii kugiza mahali pamoja hao wanaonekana kabisa wanaforce wajifunze kupitia Irine.Alisema mmoja ya shabiki.”