Latest Updates

Ray C ashushiwa mitusi na T.I.D Instagram kisa kumuomba waongee!



Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze. Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa za kulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.