Latest Updates

AZAMA PICHA 8 ZA P-SQUARE WALIZOTUPIA MTANDAONI NA KUWA GUMZO!!


Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo.
Kama wewe ni shabiki wa P Square enjoy kucheki hizi picha.