Latest Updates

JE KUNA UGONJWA WA HAMU YA KUFANYA MAPENZI AU NI KUJIENDEKEZA..HAWEZI LALA BILA YA KUPATA DOZI




Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.

AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin



kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa

na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake

Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina

SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?