Latest Updates

MTOTO WA KIKE WA KIGOGO SERIKALINI APIGA PICHA ZA UCHI NA KUZISAMBAZA MITANDAONI ILI KUJIPATIA UMAARUFU



Imekuwa ni jambo la kawaida na pengine linalochukua sura mpya kwa sasa kutokana na watoto wa vigogo kupiga picha tata yaani za uch! na kuzitundika katika mitando kana kwamba wanajiuza.

Nadhani wadau mtakumbuka hapa nchini watoto wengi mastar mbali mbali wa kike wamekuwa na tabia hiyo ya kuanika miili yao katika mitandao haswa BBM na whatsapp kujinadi kwa wanaume,sina haja ya kuwataja majina hapa maana ni uandikwa wameshaandikwa sana ila bado kila kukicha wanaibuka wengine.

Sasa nchini ghana nako mtoto wa kigogo mmoja ametundika picha zake mtandaoni na kuandika mwenye pesa ananitafute nitamtimizia kila kitu anachokitaka katika mwili wangu,hii inaonyesha hali mbaya sana kwani zaman tulijua watoto wa maskini ndio wanafanya uchafu huo ili kupata pesa ila kwasasa inaonekana watoto wa vigogo wamekuja kwa kasi sana katika swala la kujiuza mitandaoni.