Latest Updates

CHANGUDOA ANANIPIGA MIZINGA ANASEMA ANANIPENDA SANA NA ANATA NIMUOE....!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??




Nilipita club moja nikaopoa changudoa moja. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa. Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa kama mnavyo muona Hapo Juu kwenye picha nikachukua namba ili nilitafune tena siku nyingine na yeye akaomba yangu nikampa.

Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika mazingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...Nifanyaje wadau ? Nimtose ama nipige vitu.....??