Latest Updates

DIAMOND AMETANGAZWA CHANNEL O KUWANIA VIPENGELE VINNE TUZO ZA CHOAMVA


Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu.



Diamond ametangazwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na Most gifted video of the year, Most gifted newcomer, Most gifted Afro Pop na Most gifted East.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi,tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini.




Diamond Platnumz






First of all, i would like to say thanks to all media in and outside of my country...the whole Music industry... without forgetting my lovely and die hard Fans.. I believe, your love and support are what makes me be where i am today... Thank you @ChannelOafrica for blessing me with this....Africa! it's time to vote Now!!!!!
http://channelo-awards.dstv.com/?

[kwanza kabisa nitangulize shukran zangu nyingi kwa Media zote nje na ndani ya nchi... wadau na bila haswa kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa.. naamini nguvu na support zenu za kizalendo mnazozidi kunipa ndio zimepelekea kijana wenu leo kufikia hapa...... niwashkuru pia @channeloafrica kwa fursa hii.... Africa! Ni muda wa Kupiga kura sasa!!!!] #CHOAMVA2014
http://channelo-awards.dstv.com/?