Kim Kardashian anataka uache kujiuliza anakuaje bila nguo wakati atakapotokea kwenye Jarida la GQ toleo la nchini Uingereza. Tayari Kim ameshinda tuzo ya mwanamke wa mwaka kutoka GQ , akiwa ndio kwanza ana miaka 33 , Kujiachia kwa Kim hakuonekani kuisha leo au kesho.