Msanii wa kwanza ni msanii Davido ambaye anajulikana kwa kumiliki magari ya kifahari kama Chevrolet Camaro ambapo mpaka sasa anamagari 6 kwenye yparking yake ya magari lilingine alilonalo ni pamoja na G-Wagon
Wizkid anaingia kwenye list hii akiwa anamiliki gari aina ya Porsche Panamera
Msanii Jim Iyke ambaye ni masanii wa maigizo kutoka Nollywood anaingia kwenye list hii akiwa namiliki magari aina ya Plymouth Prowler pamoja na Camero SS.
Msanii mwingine ni pamoja na Daniella Okeke anayemiliki gari aina ya Range Rover.
Msanii mwingine ni pamoja na Ebube Nwagbo anayemiliki gari aina ya 2013 Honda.
Wa mwisho ni pamoja na msanii Halima Abubakar anayemiliki gari aina ya Porsche.