Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya celebrity couple inayopendwa na watu wengi zaidi nchini Tzee na nje, ila kwa haya wayafanyayo, hutakuja kuona couple wowote hapa tzee wakifanya haya wanaofanya yao, labda huko nchi za wengine ila kwa hapa Bongo, ni Wema Sepetu tu na Diamond Platnumz ndio wanayoweza.
Kudai kutengeneza movie ambayo haijatoka hadi leo”Temptation”

Kati ya vitu ambavyo si rahisi cople wengi kukuta wanafanya pamoja ni movie, ila kwa hili la wapendanao hawa ni noma zaidi, ndio moja ya celebrity couples ambao wamewahi kudai kucheza movie wakati walipokuwa wameachana, ili tu wawe karibu pamoja, ikiwa inasemekanailikwenda kufanyiwa shooting nchini China, na ikiwa nimwaka wapili huu sasa wamesharudiana, na movie hiyo haijakamilika bado,huku ikibakia msemo tu “Acha movie iendelee”.
Kuachana na kurudiana zaidi ya mara mbili.
Hawa ni moja ya celebririres waliowahi kutangaza kuachana mara kadhaa na mwisho wa siku kurudiana na hadi hii leo bado wapo pamoja,imetokea kusikia watu wegi maarufu hapa bongo wakiachana na kila mtu akishia kushika mahesabu yake, ila kwa Diamond na Wema, ni moja ya couple maarufu zilizowahi kuachana na kurudiana mara nyingi kuliko mtu yeyote maarufu hapa Bongo. Unakumbuka yale ya Rihanna kushushiwa kipigo na Chris Brown na bado akamrudia ?
Wema kumvalisha Diamond wigi na kupost picha mitadaoni.
Kama ni vituko basi hapa huwa haviishi, saa zingine unaweza kusema ni mapenzi kuzidi, ila kwa Diamond kuvalishwa wigi, kupigwa picha na mpenzie(Wema) na kupost kwenye mitandao ya kijamii, Only Diamond na Wema ndio kweli wanaweza kufanya hivi, katika miaka hata ya baadae, sidhani kama watatokea couple maarufu wenye vituko kama hivi, ni nadra sana ukute mtu maarufu wakiume kuvaa wigi la kike, kupiga picha na kupost kwenye mitandao.
Kurekodi video wakiwa kitandani na kupost kwa mashabiki kuangalia.
Kama ni love ku-show love kwa mashabiki iko poa zaidi, kwa Diamond na Wema ndio inasemekana kuwa hata baada ya kudai hapo awali kuwa kwa sasa wanataka kuweka mambo yao yawe yao binafsi, ila ndio couple waliowazi zaidi ku-show mambo yao hadharani, si couple wote hapa bongo wenye uwezo wa kufanya hivi, zaidi ya kujipiga picha wakiwa kitandani na kupost kwenye media. Tumezoea kuona watu wengi hasa maarufu wakifanya mambo yao kwa siri zaidi, ila kwa couple hawa wako wazi sana wakifanya mambo yao.
credit : vibe