Latest Updates

MWANAMKE AGONGWA NA DALADALA UBUNGO MAJI



Raia wakijaribu kuokoa maisha ya dada aliyegongwa na gari (daladala) maeneo ya Ubungo maji wakati akivuka bara bara.

Majeruhi (dada huyo) akichukuliwa kwenye gari na wasamaria wema