Video ya Nicki Minaji ambayo ni booty-shaking imefanyiwa cheeky remix ikiwa na addition ya sauti ya kujamba aka ushuzi!!!.
Team ya comedy ya South Africa and the Sunday Blues wali-share ngoma hiyo kwenye YouTube siku ya Jumane August 24.
Badala ya kuwa muziki wa Minaj the soundtrack ya video ilikuwa ni Nicki Minaj akijamba all the way!.