Daaah hii kali sana.....Diva wa Clouds FM leo hii kupitia mtandao wa INSTAGRAM ameshangaza wengi na kuwapa chakusema wale wanao mponda kuwa ana UMBO bovu yani baya......na huwa ana EDIT picha zake....
Sasa leo ameibuka INSTAGRAM na kuanza bwaga picha kama ifuatavyo;
Alianza na hii;
Akaweka na hii;
miss @ummykitwana hapa mtanga mwenzangu..njoo mbezi beach tuyajenge maisha mammy..... mipango miji. Mipango tele ya events zetu"
Akaweka na hii;
"Ya Mwisho for the day...haya sasa. Ninemalizaaaaaaaaaa...������ das not herrrr ...hehee kumbe bibi ako huyu. Huwa mnahisi niko ka fimbo nini? Fyi nina mguu nina hilo tako saizi yangu ...mengine malizia na nina hizo tattoo ndio na nyingine zinakuja ka rihanna vile..njo vileeeey. Semeni yote mkimaliza sign out. Niko nalala"
\