Latest Updates

Sikiliza na Download Wimbo Mpya Ambao Diamond Amerap Badala ya Kuimba-Diamond & Godzilla - Mtoto wa Mama



Kipaji ni Kipaji Tu , Uwezi Amini ila ndo Hivyo Mzee Mzima Diamond Platnumz Kumbe na Upande wa Kurap Ama Kuchana yupo Vizuri Sana , Kina Nay Wasipoangalia Wataondolewa Kwenye Game.....Sikiliza Wimbo Ambao Diamond Amechana/Rap Verse ya Kwanza na ya Pili Kamalizia Mzee Mzima Godzilla, Wimbo Umefanywa na Producer Zachaa wa Mj Records.


Wimbo Huu Hapa: