Latest Updates

FINALY, P-SQUARE WAFUNGUKA KUHUSU RUMORS ZA KUVUNJIKA KWAO



Baada ya rumors kuzagaa kwenye media mbali mbali. ikiwemo Blogs na social media mbalimbali kuwa kundi la P-square halipo tena kwa madai kuwa limevunjika, finally ukweli upo mezani, kumbe rumors hizo zilisababishwa na tweet tu ya kaka yao mkubwa ambaye ndio anasimamia shughuli zote za muziki akiwa kama meneja wao, kwa tweet iliyoandikwa:


“After over 10 years of hard work, it’s over. Am done.”
Ila ukweli ni kwamba, hata wao wenyewe hawajawahi hata kusikia mtu akisema kuwa wametengana, “I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don’t know where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. It’s baseless and untrue.” alifunguka msemaji wa kundi hilo ajulikanaye kama Bayo Adetu.Inasemekana kuwa tweet hiyo iliyosababisha uvumi huo, ni kutokana tu na kwa kaka yao huyo,Jude Okoye ambaye damu haziivi kabisa na mke wa Peter Okoye aiywaye Lola Omotayo, na wala haikuhusiana na kundi lao la Psquare