Latest Updates

HABARI PICHA: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEFARIKI KWA AJALI UBUNGO JANA..!


R . I . P Neema Mwakajwanga.
Alifariki kwa ajali jana saa 1 jioni maeneo ya Ubungo.
Alikua ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho UDSM , na ni mzaliwa wa mkoani Mbeya.

chanzo : kandili yetu