"Ukiwa binti mzuri basi wanaume watakuwa wanakupigia misele muda wote wakikutaka kimapenzi. Nina ngozi yenye mng'aro na ninawavutia watu kibao;
wanaume hawawezi kuacha kuniangalia na ninajua kuwa wao ni wanadamu hivyo nawapotezea siwazi sana suala hili. Wanaume wanapojipitisha wakinitaka sauti ya baba inanijia 'jichunge mwenyewe mwanangu' ...." Alisema mtoto mrembo wa msanii maarufu.