Latest Updates

NISHA "SIJAWAHI KUTOKA NA PEDESHEE PESA NILIZONAZO NI JASHO LANGU"



Nisha Amehabarisha kuwa mafanikio aliyonayo na Pesa ni zake na hakuna anaye mpaka company kama baadhi ya Wadada wa Mjini wanavyojingamba kuwa wana Pesa lakini ukija kuangalia kwa Undani kuna Mtu Pedeshee anaye hudumia na kutoa kila kitu :
Nisha Alisema Haya:

Unadaiwa wewe una fedha sana, kuna mtu yuko nyuma yako?

Nisha: Sina mtu nyuma yangu, pesa ni juhudi zako mwenyewe, kikubwa nafanya kazi kwa bidii, napenda sana kazi yangu, alhamdulilah sasa nimekuwa na kampuni yangu mwenyewe ya kuandaa filamu (Nisha’s film production)