Latest Updates

HEMEDI ATANGAZA MWEZI WA KUOA




Hemedy PHD , sukari wa warembo au unaweza kumuita handsome boy sasa yuko tayari kuwa baba baada ya ya kuongea na vibe akisema amechoka na usumbufu wa warembo na sasa yuko tayari kuwa na mtu mmoja tu kwani haoni jipya bali usumbufu na ufujaji wa pesa.


Hemedy anafunga ndoa next year on february kama kila kitu kitaenda sawa kama ilivyopangwa.Mrembo anayemuoa anaitwa Momo , mrembo huyo mwenye muonekano wa super model yupo tayari kuishi na Drama King wa Bongo.