JOKATE AMEGONGA MWAMBA
Mrembo wa Bongo Jokete Mwegelo aka Kidoti aliyewahi kushiriki U-miss na kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Miss Tanzania 2006. Adaiwa kuwa katika wiki ngumu baada ya Kutangaza kuwa alitokea kumpenda sana Hasheem Thabeet kwa kipindi kifupi, ambaye kwa sasa mkali huyo wa mpira wa kikapu inasemekana yupo katika hatua za kufunga ndoa na Bee Anderson aka ‘Queen Bee’ ambaye amemzalia mtoto Hasheem.
Posted