Latest Updates

MSHIRIKI WA MISS KISWAHILI 2009, REHEMA FABIAN ATUPIA PICHA ZAKE ZA NUSU UTUPU MTANDAONI

Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian
Stori: Mwandishi Wetu
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.



Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.



Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.

“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.