Home » Uncategories » Mtangazaji wa TV Apigwa Busu Adimu Kutoka kwa Wema Sepetu...Hakulala Siku hiyo
Mtangazaji wa TV Apigwa Busu Adimu Kutoka kwa Wema Sepetu...Hakulala Siku hiyo
Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake Martin Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema.
Posted