Latest Updates

SHILOLE, PICHA ZA NUSU UCHI ALIZOZIPIGA SHILOLE OMAN MUSCAT ZAZUA BALAA






So bad leo katika pitapita kwenye mitandao ya kijamii, makubwa haya tukabaini picha za kihasarahasra ambazo zimepigwa na staa shilole nchni muscat, mashabik wakalalamika sana na kusema haiwezekani staa shilole avae nguo fupi katika nchi ya waarab kama ile, Ukweli ni kwamba ni kweli nchi inatamaduni zake na sheria zake, bt ukweli ni kwamba picha hizo amezipiga akiwa hotelini na kwenye kordo ya hotel, ila akiwa barabarani anatupia ushungi kama hivi.
Nazani mmejione wenyew.