Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global Publishers.