”Kiukweli kwa sasa soko la filamu linakuwa na kama tukiacha kuwa wabinafsi tutafika mbali sana siku moja, ingawa hakuna faida sana kwa sasa ni umarufu tu na kuzidisha uzoefu ila tutafika.Kuna habari zimeenea sana kwa kweli lakini leo nataka nitoe kauli yangu rasmi sijawahi kutoka na Wema wala Kajala kimapezi. Wote ni watu zangu wa karibu sana na kikazi zaidi na ushauri, nakumbuka hata Kajala siku ya Wema kutoa pesa atoke jela pesa nilishika mimi ni kwa sababu tu ni mtu wa karibu na ifahamike sijawahi kuwa na mahusiano nao wala kuwatamani.Mimi nina familia kwa maana mke na mtoto mmoja na najiheshimu sana so ilivyotekea hiyo ilinifanya nigombane na mke wangu sana ila mwisho akaelewa na maisha yakaendelea.”
SIJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO NA WEMA WALA KAJALA

Posted