Latest Updates
Home »
BEAUTY
»
VAZI LA LULU LAWATESA WANAUME WAPENDA SKETI
VAZI LA LULU LAWATESA WANAUME WAPENDA SKETI
Vazi
alilokuwa amevaa Lulu Michael katika fainali za Shindano la
TMT lilizua balaa kubwa kwa wanaume wapenda sketi baada ya
vazi hilo kuanika hadharani maungo nyeti ya msanii huyo.
Katika shindano hilo, Binti mdogo toka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka kidedea na kujinyakulia milioni 50