Latest Updates

PAMOJA NA KUPIGWA MARUFUKU NGOMA ZA VIGODORO ZARUDI UPYA


Licha ya vigodoro kupigwa marufuku na serikali lakini Ngoma hizo zinaendelea kupigwa Sehemu Mbali Mbali Kama

Kigogo Luhanga kwa bint kahenga na Maeneo ya Bunju jirani na Mapinga.
Mambo ni mdundo ni yale yale ya Kusasambua Udaku Special Imeshuhudia Live Ngoma hizo Sehemu hizo zilizotajwahapo juu.