Latest Updates

VIDEO INAYOWAFUNDISHA WANAUME JINSI YA KUWAFIKISHA WAPENZI WAO KILELENI


Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono.


Akiongea na Mpekuzi, Azma amesema ameamua kuachia wimbo wake huo uitwao ‘Jinsi ya Kumkifikisha Mpenzi Wako Kileleni’, baada ya kuona amekuwa akifanya nyimbo zenye ujumbe wa kijamii kwa muda mrefu lakini watu wanazichukulia poa.



“Kikubwa nimeona nimefanya kazi nyingi sana zenye ujumbe mkubwa mfano ‘Mungu Inusuru Tanzania’, ‘Utata wa Katiba’, ‘Wanasubiri Nife’, ‘Kuwa na Azma’, ‘Kila Kitu Kila Siku’, ambayo nimerelease last week lakini ndo mapokeo yake ni madogo.



"Ndio maana nimeona nifanye kitu kingine ambacho kiko negative ili nipime fikira za Watanzania pengine wanaweza kuvalue kazi kubwa ninayofanya,” amesema Azma.

Tazama video hapo chini




- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/09/video-inayowafundisha-wanaume-jinsi-ya.html#sthash.a83SXyqi.dpuf