Latest Updates

WAREMBO WAONYESHA MAPAJA YAO ILI KUWATEGA WANAUME WAWATONGOZE.


Nimeona Nikuandikie Watu Wanipe Ushauri , Mimi ni Msichana Bado Mbichi Sana ila Tatizo langu ni Mavazi yaani Sijui inakuwaje kila nikitoka out ama Kwenda kazini nikivaa



nguo ndefu sijiamini hata kidogo nakosa amani na hata furaha , ila siku nikiwa nimevaa nguo fupi basi najiamini si mchezo naweza kumface mtu yoyote , alafu napenda vile Kila mtu anavyoniangalia nikitembea with my High Heels..Je Nitakuwa nimeathirika kisaikologia kimavazi ama ni Kawaida hata wadada wengine inawakuta hivyo?

- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/09/warembo-waonyesha-mapaja-yao-ili.html#sthash.gQJkJ4Up.dpuf