Latest Updates

HIVI AWA ASKARI WA JESHI LA POLISI WAKINYANG`ANYWA HIZI SIRAHA WATASEMA NINI, WAPO LINDO LAKINI WAPO BIZE NA SIMU



Na ndio maana hawa jamaa huwa wanavamiwa na kuporwa silaha kiurahisi kabisa, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaangalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.