Latest Updates

KUTANA NA TEAM WEMA YA ARUSHA NISHEEDA WAMPOKEA KWA KISHINDO KWA KUMUITA TANZANIAN SWEETHEART..JIONEE MWENYEWE










Kubari kataa, Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ni ndio msanii mwenye ushawishi mkubwa zaidi hapa Bongo (kwa mtazamo wangu).

Mbali na kuwa ni msanii mwenye followers wengi zaidi ya wote kwenye mitandao ya kijamii ambapo kwenye mtandao wa Instagram pekee ana followers zaidi za laki nne,kukubalika kwa Wema kumekuwa kukijidhihilisha mara kadhaa kwenye matamasha na hata hata kwenye mashindano kadhaa yanayoendesha kwenye magazeti na mitandaoni Wema amekuwa mara zote anapata zaidi.

Kulithibitisha hilo, Jionee hapo juu wadada hao wa A Town walivyompokea Wema wakiwa wametinga “T-Shirt” zilizoandikwa Wema ,Tanzania's Sweetheart.

Wema ameshare nasi picha hizi na kuandika kwa lugha ya kimombo “Tanzania's Sweetheart... "Dats wat they call me” nadhani wengi wamemuelewa hapa.

Wema yupo Jijini humo kwa ajili ya kuhudhuria Black&White Party akiwa kama mgeni maalum “Spocial Guest”.