Latest Updates

MAKALIO YAMPAISHA MASOGANGE MAREKANI




Staa aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa gumzo hadi Marekani baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa shavu.

Staa aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’. Masogange aliripotiwa na mtandao wa Media Take Out na kumuelezea kuwa ni staa mwenye makalio makubwa barani Afrika akitokea Tanzania.Mbali na maelezo kibao ya kusifia wowowo lake, mtandao huo uliposti picha kibao za mwanadada huyo ambaye sasa anaishi Afrika Kusini akiweka mapozi tofauti ya kimitego.

Hata hivyo, baadhi waliponda maelezo hayo kwa kusema kuwa, Afrika ina mabinti wenye maumbo tata kuliko Masogange hivyo mtandao huo ungefanya uchunguzi kabla ya kuripoti habari hiyo.