Latest Updates

MTANGAZAJI EDZEN APATA AIBU YA MWAKA..MPENZI WAKE AMREKODI AKIWA BILA NGUO NA KUPOST MITANDAONI





Habari ya Mjini leo ni Hawa watu wawili Mtangazaji Edzen na Moza..Ambao inasemekana walikuja kuwa wapenzi baada ya Edzen kuachana na Dida..leo imesambaa video kwenye Insta na whats app ikionyesha Edzen akitoka kuoga na kuingia chumbani akiwa na taulo na kisha kulivua na kuweka mambo hadharani ..huku akivaa boxer.....Video inasemekana imechukuliwa na Moza , Mazingira yanaonyesha ni chumba cha msichana hivyo alikuwa kwa moza .....

Aibu sana hii kitu mpaka nimeshindwa kuweka video kwa ajili ya Maadili ..Embu Edzen badilika sasa we kila siku majanga tu na hawa wadada....