Latest Updates

MWIMBAAJI WA INJILI NA PICHA ZA UTUPU:WAKUBWA TU TAFADHARI KUANGALIA PICHA









''Maheeda'' gospel Singer.
NI matumaini yangu kwamba watu wangu wa nguvu mmechoka kila siku kutazama picha za makahaba na mlishajenga imani kwamba wale hutupia picha hizo chafu katika maadili ya muafrika kutokana na tabia zao na ukosefu wa hekima,


Haya sasa leo huyu muimbaji wa muziki wa injili anaetambulika kwa jina 'Maheeda' kutoka Nigeria anatufunza nini na picha hizi alizopiga na kuzitupia mitandaoni?


Alafu cha kushangaza watu wengine wanalalamika eti bloggers wanadhalilisha dada zetu? Hivi kwa mfano dada huyu anadhaliliswa au anajidhalilisha?'
Toa maoni yako hapo chini..