Latest Updates

Nisheeda asee Ninafanya mapenzi mara 500 kwa siku – Kim Kardashian


Kupitia promo ya msimu wa 10 wa kipindi cha TV cha ‘Keeping Up With the Kardashians’, Kim Kardashian ameshare habari nyeti kuhusiana na maisha ya mapenzi na mume wake Kanye West.



Video hiyo inayorushwa kwenye kituo cha TV cha E!, Kardashian anasema: I’ve been having sex 500 times a day.”



Kauli hiyo ilionesha kumshtua mdogo wake Khloe. Msimu huo utaanza kuoneshwa Jumapili, March 15.

Kim na Kanye wamekiri kuwa katika jitihada za kutafuta mtoto wa pili.