OSTELI ZA VYUO ZAGEUZWA MADANGULO YA KUPIGIA PICHA ZA NGONO ONA HIIIII
Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa
nchini kwa sasa imekuwa gumzo kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu cha kawaida.kutokana na hali hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini wamekuwa wakivaa mavazi hayo na kupiganayo picha, ambapo kitu hicho kimekuwa kikiwaharibia sifa zao kwa
siku za hivi karibuni.
Na kutokana na tatizo hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa na kulivalia njuga swala hili la watoto wetu kuvaa nguo fupi na kupiga picha za nusu uch. Bad enough ni kuwa watoto wetu ambao n wasomi ndio wamekuwa waharibifu zaidi katika kupiga na kuvaa nguo fupi. Kwao kupiga picha chafu na kuziweka mitandaoni
imekwa ni fun and they see it as entertainment, we should change this mindset, they are responsible to show us the education they have got from their respective colleges,
Posted