Home » Uncategories » Photos: Kutana na video queen anayedaiwa kuwa na hips kubwa kuliko wote Africa
Photos: Kutana na video queen anayedaiwa kuwa na hips kubwa kuliko wote Africa
Beauty of the day: Anaitwa Matilda Quayle, al-maarufu “Matilda Hipsy,” kutoka Ghana. Video vixen huyu, ambaye ni model maarufu ndani na nje ya Ghana, anadaiwa kuwa mwenye hips (au uwiano wa hips/kiuno) kubwa kuliko wote Africa. Nadhani Corazon Kwamboka na Agnes Masogange wamesema “eti nini!?” baada ya kusikia hii. Anyway, to the photos!
Posted