Latest Updates

Sababu ya Justin Bieber kutotembea kwenye runway aliyoalikwa na Mwanamitindo Naomi.





Kwneye mahojiano na mtangazaji wa radio ‘1st BreakFast’ Nick Grimshaw mwanamitindo mkongwe Naomi alitoa sababu za kwanini Justin Bieber alishindwa kutembea kwenye Runway kwenye halfa ya kuchangisha pesa za kusaidi watu tofauti kupitia taasisi ya Naomi.

Naomi anasema Justin Bieber alitaka tu kuangalia show bila kuonekana jukwaani. Naomi alikuwa akihojiwa kuhusu mahusiano yake na Justin Bieber.

justin-bieber