Latest Updates

TAHADHARI; WALE WANAOPENDA KUNYONYA UKE NA UUME WAKIJIDAI KUWA NI WAJUZI WA KUFANYA MAPENZI, WAKO HATARINI KUPATA MAGONJWA YASIYOTIBIKA.








Hivi karibuni kumezuka mtindo wa watu kupenda sana kunyonyana uume na uke wakati wa kufanya mapenzi kwa kile kinachosemekana kuwa kwa kufanya hivyo kunaongeza hamu na manjonjo ya kumridhisha mpenzi wakati wa kufanya mapenzi. Wazoefu wa ‘kuzama chumvini’ hujisifu kwamba wao ni wajanja pia ni wajuzi wa mambo huku wakisahau kuwa kwa kufanya hivyo wanahatadharisha afya na maisha yao kwa ujumla.
Tendo hili limeonekana kufanywa zaidi na idadi kubwa ya vijana ambao huona kwamba kwa kufanya hivyo watawafanya wapenzi wao wasiwakimbie na kudumisha penzi kwa wapenzi wao. Tabia hii imetokana na vijana wengi kupenda kutazama picha za ngono kwa minajili ya kujifunza aina mbalimbali za mikao na njia mbalimbali za kufanya mapenzi ikiwa ni pamoja na hiyo ngono ya mdomo almaarufu kama ‘Kuzama Chumvini’.
Hatari kubwa ambayo inaweza kuwapata wapenzi wa mtindo huu wa ‘kuzama chumvini’ ni magonjwa yafuatayo;-

(i) Kansa ya Koo ambapo ambapo uwezekano wa kupona ni mdogo sana kama isipogunduliwa mapema na kuanza matibabu haraka iwezekanavyo.
(ii) Ugonjwa wa gonoreha, ambapo ugonjwa huu huanzia katika koo na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifua au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadaye hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi.
(iii) Ugonjwa wa Kaswende ambao huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdomo na hasa pale mdomo unapokutana na kiungo chenye athari hizo.
(iv) Ugonjwa wa Chlamydia ni moja wapo kati ya magonjwa ya zinaa ambao huambukizwa kwa bakteria na kwamba ugonjwa huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalili kwa muda mrefu.
(v) Hepatitis A: Hiki ni ni kirusi kinachopatikana katika kinyesi cha binadamu, kirusi hiki huwaingia wale wanaopenda kunyonya na kulambana sehemu za haja kubwa. Ni kwamba kwa ugonjwa huu mtu anaweza akaharibika macho hadi kupofuka.
(vi) Hepatitis B: Ugonjwa huu huambukizwa kama virusi vya Ukimwi kwa sababu virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu. Mtu akiwa na ugonjwa huu, mwili wake unakuwa na vipele vingi na hata majipu ambayo huwa magumu kupona na wapo wanaokufa.
(vii) Hepatitis C: ni ugonjwa ambao hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu. Ugonjwa huu humfanya mtu kuvimba viungo na hata kukatika.
(viii) Hata hivyo kupitia staili hii yaupeana raha kwa kunyonyana sehemu za siri, kuna uwezekano wa kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa uchache lakini kwa nchi zilizoendelea wamebuni aina ya kondom ambazo huvaliwa katika mdomo wa binadamu na hivyo kupunguza hatari ya kupata madhara hayo.
Zama Chumvini kwa Uangalifu!