Latest Updates

Video ya ‘Double Tap’,Kuhusu mwanaume anayemfuatilia mwanamke instagram.




Baada ya drama nyini mitandaoni kuhusu mapenzi yake na Jason Derulo, msanii Jordin Sparks sasa ni single girl na ametoa wimbo kuhusu mwanaume anauemfuatilia instagram. Wimbo unaitwa “Double Tap” na kashirikishwa rapa 2 Chainz.

Bonyeza play kuisikiliza.