Home » Uncategories » Haikuwa rahisi kumpata mshindi wa #TMT na sasa imefikia mwisho...Ray Kigosi adondosha mchozi kisa kipo hapa
Haikuwa rahisi kumpata mshindi wa #TMT na sasa imefikia mwisho...Ray Kigosi adondosha mchozi kisa kipo hapa
August 22 imetoa jibu kamili la Tanzania Movie Talent (TMT) na zawadi ya million hamsini kwa mshindi wake kituambacho kilikuwa ni kidendawili kikubwa kwa wafuatiliaji wa TMT na wapigakura kwa sababu ya idadi kubwa ya washiriki ni uwezo mkubwa katika mashindano
List ya watu kumi ndio walioingia kwenye fainal na hatimaye meza ya Majaji imetoa zawadi hiyo kwa mshindi wa TMT Denis Lwasai ambaye ni msanii aliyewahi kufanya kazi na marehemu Steve Kanumba kipindi cha uhai wake miaka kadhaa iliyopita…
Lulu na mbona ndio walikuwa waondozaji wa sherehe ya kumpata mshindi wa tmt
Washiriki wakionyesha uwezo wao mbele ya majaji
Ray Kigosi kwa umakini akifuatilia mashindano ya TMT
Haikuwa raisi kwa Ray kuvumilia kuzuia machozi yake baada ya Mshindi kutangazwa na kuhusishwa kuwa anafanana sana na marehem Steve Kanumba
Posted