Latest Updates

Leo Tena Kwenye Headline Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria


Msimu wa tuzo kwa Diamond Platnumz a.k.a baba Tiffah bado unaendelea, ametajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ AYCA2015 za nchini Nigeria.



Muimbaji huyo wa ‘Nana’ anawania vipengele viwili kwenye tuzo hizo, ambavyo ni YOUTH CHOICE Artiste Of The Year pamoja na YOUTH CHOICE Best Male.

Hivi ni vipengele anavyoshindania:

YOUTH CHOICE Artiste Of The Year:
wizkid – Nigeria
Davido – Nigeria
Yemi Alade – Nigeria
Sarkodie – Ghana
Aka – South Africa
Eddy Kenzo – Uganda
Diamond Platnumz – Tanzania

YOUTH CHOICE Best Male:
Aka – South Africa
Olamide – Nigeria
Stoneboy – Ghana
Skales – Nigeria
Diamond Platnumz – Tanzania
Patorankin – Nigeria