Lowassa kaingia mitaani Dar leo, kapanda na daladala (Picha 21)
Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Nimezikusanya taarifa za headlines kubwa za siasa Tanzania kuanzia jana CCM na leo UKAWA ambapo stori zao zitasikika kwenye AMPLIFAYA ya CloudsFM leo kuanzia saa moja usiku.
Posted