Latest Updates

Ni kweli ndoa ya Marlaw na Besta imevunjika? Stori ipo kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)




Soudy Brown kapata tetesi kuwa ndoa ya mastaa wawili Besta na Marlaw imevunjika..na akaona si vibaya kupata ukweli juu ya hilo.

Amezungumza na Besta ambaye amesema si kweli kama ameondoka nyumbani kwake na mpaka sasa bado anaishi na mume wake maeneo ya Mbweni, Dar es salaam… pia si kweli kama anamkataza kufanya muziki bali anajipanga na bado ataendelea na kazi zake kama kawaida.