Latest Updates

Nimekusogezea Hapa Picha: Huddah Monroe akila bata la hatari kwenye yacht jijini Dar es salam.


Mrembo wa Kenya, Huddah ametumia weekend hii jijini Dar es Salaam anakopaita ‘second home’ kwa kula bata la haja kwenye yacht.



Mrembo huyo alifurahia mandhari ya kuvutia ya bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam kwa safari ya kisiwani Mbudya kwenye yacht.


Bata kwenye Yacht


“Yacht Life in Dar Es Salaam …….. Champagne for the fact that I’ve finally gotten my IG back…… I felt like my whole life was hacked,” aliandika mrembo huyo kwenye picha moja wapo.


Picha ya Huddah inaonesha mandhari ya kuvutia ya bahari ya Hindi jijini Dar es Salaa

“Serenity……….. New day . Had the best weekend ever . I am not lucky , I am Blessed,” ameandika kwenye nyingine.


Mungu ampe nini tena?


“Life is GOOD! ……. Never let ur ego get in the way. Individuals can say whatever they want to say about u. As long as ur happiness & money is right ..F*ck Them……. #StillWinning,” ameandika mrembo huyo.