Latest Updates

ANGALIA VIDEO YA VITUKO NA HASIRA ZA MIKE TYSON.


Mike Iron Tyson akiongelea jinsi alimkuta mke wake Robbin Given na Prad Pit. Msikilize akielezea jinsi Brad Pit alivyotetemeka baada ya kufumaniwa.
<<BOFYA HAPA KUMSIKILIZA>>


Hizi ndio hasira za Tyson. Enzi hizo walikua wanamwita 'THE BADDEST MAN IN THE UNIVERSE'. Hapa alikua akimcharukia mpinzani wake
<<BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO>>