Latest Updates

BASI LA BUKOBA EXPRESS LAANGUKA LIKITOKEA DAR KWENDA BUKOBA...soma zaidi

MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS  T 315 BLC  BAADA YA KUANGUKA
BASI HILO LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MKOANI BUKOBA MUDA MFUPI BAADA YA KUANZA SAFARI ALFAJIRI YA LEO KUTOKA LILIPOKUWA LIMELALA,TAYAR KUANZA SAFARI YA KUELEKEA BUKOBA