Latest Updates

BBC WAMWALIKA SHILOLE KISA KIUNO CHAKE

Shilole anakuwa msanii wa pili mwaka huu kutinga BBC, baada ya msanii mwenzake Ambwene Yesaya (AY) kuwa msanii wa kwanza mwaka huu kutinga katika ofisi hizo,Shilole ambaye atamba hivi sasa katika tasnia ya muziki huku akijizolea sifa kemkem, kutoka na uwezo wake mkubwa wa kutumia makali yake ipavyo akiwa jukwani.